hISTORIA YETU
Hii ni Historia fupi ya kanisa letu la Gilgal Revival Church

Historia yetu
Gilgal Revival Church (G.R.C) ni huduma iliyojengwa kwa kufuata maandiko matakatifu yaani BIBLIA, nakuamini juu ya wokovu kamili kupitia Bwana wetu Yesu Kristo.
Huduma hii ilianzishwa mnamo mwaka Tarehe 01 mwezi Julai mwaka 2017, chini ya Askofu Mkuu Bishop Paul Israel Shabani,Ilianza ikiwa huduma/kanisa la Mahali pamoja Jijini Dar es salaam, Lakini sasa imeenea na matawi yake katika kanda zote Tanzania na Nje ya mipaka ya Tanzania.
Dhamira yetu(Our Mission)
Huduma ya Gilgal Revival Church itaweka kipaumbele kuhudumia jamii ikifuata mwenendo wa maandiko matakatifu yasemavyo.
Maono yetu(Our Vision)
Kutoa huduma za kiroho na kijamii ndani ya Tanzania na hata nje ya mipaka ya Tanzania itakapohitajika.
Unahitaji Maombi?
Maisha yanaweza kuwa magumu wakati mwingine, na sote tunahitaji maombi. Tunachukua ombi lako kwa uzito mkubwa, na haijalishi unachopitia, tungependa kuomba pamoja nawe!"